Kilinda Nenosiri husaidia kukinga dhidi ya uvamizi wa kuhadaa ili kupata maelezo ya kibinafsi.
Ukiandika nenosiri lako la Gmail au Google for Work mahali popote pasipo accounts.google.com, utapokea tahadhari, ili uweze kubadilisha nenosiri lako ikiwa unafaa kufanya hivyo. Kilinda Nenosiri pia hujaribu kugundua kurasa bandia za kuingia kwenye Google ili kukutahadharisha kabla ucharaze nenosiri lako. Ili kufanya hivyo, Kilinda Nenosiri hukagua HTML ya kila ukurasa unaotembelea ili kubainisha kama ni ukurasa unaojifanya kuwa ukurasa wa kuingia katika Google. Maswali Yaulizwayo Sana
-- Kilinda Nenosiri kitaanza kutumika lini?
Kilinda Nenosiri kitajianzisha chenyewe wakati ujao utakapoandika nenosiri lako ili kuingia katika accounts.google.com.
-- Je, Kilinda Nenosiri huhifadhi nenosiri langu au micharazo ya vitufe?
Hapana. Kilinda Nenosiri halihifadhi nenosiri lako wala micharazo ya vitufe - badala ya kufanya hivyo, kinahifadhi kijipicha salama cha nenosiri lako, ambacho hulinganisha na kijipicha cha micharazo ya vitufe vyako vya hivi karibuni ndani ya Chrome.
-- Kilinda Nenosiri hutuma data wapi?
Kama unatumia Kilinda Nenosiri katika akaunti ya Gmail, Kilinda Nenosiri hakitumi data yoyote kutoka kompyuta yako ya ndani. Msimamizi wako Google for Work akiamua kutumia Kilinda Nenosiri katika kikoa chako, atakuwa akipokea arifa zinazotumwa na Kilinda Nenosiri.
-- Upeo wa arifa za Kilinda Nenosiri ni upi?
Kilinda Nenosiri hakilindi madirisha fiche, Programu za Chrome, au Viendelezi vya Chrome. Pia hakilindi nenosiri za huduma zisizo za Google. Kilinda Nenosiri hufanya kazi tu kwenye kivinjari cha Chrome wakati Javascript imewashwa.
-- Ninaweza kupata maelezo zaidi wapi?
Tembelea kiungo cha Maswali Yaulizwayo Sana katika https://support.google.com/a/answer/6197508, au unaweza kuangalia chanzo huria cha misimbo msingi katika https://github.com/google/password-alert.
Kwa kusanidi kipengele hiki, unakubali Sheria na Masharti ya Google na Sera ya faragha katika www.google.com/policies/
Latest reviews
- (2023-05-25) Can Buyukbasaran (progCan): google, please add this feature by default. so some people say it does pop-ups and spam, but IT TOTALLY DOES NOT (and no, i don't have a pop up blocker at all)
- (2022-11-18) Dol Col: J'aurai préféré mettre une autre note mais ne sert strictement à rien ! Comptes Google piratés sur mon pc et AUCUNE ALERTE m'indiquant de l'utilisation de mes motes de passe. Je désactive donc immédiatement cette extension qui au final ne m'aura pas permis d'être alerté
- (2022-11-03) Celso DeJesus: WHY is this not a default feature of Chrome? How am I just learning you have to download a feature like this? No mention of it unless you google it.
- (2022-08-21) Fernando: Excelente herramienta, nunca falla.
- (2022-08-14) Máté Menyhárt: Egyszerű, de nagyszerű! Bárhova beírom a jelszavamat (mindegy, hogy milyen mezőbe a weboldalon) rögtön figyelmeztet is.
- (2022-06-03) Марк ободовский: У МЕНЯ НЕ РАБОТАЕТ РАСШИРЕНИЕ
- (2022-04-16) welile nzuza: Well I added the extension but concerned because in other reviews the general understanding is that it asks you to re-log in when you add the extension but it did no such thing when I added the extension which is my worry....
- (2021-10-26) Stanislav Gneushev: "Защитник пОроля помогает предотвратить фишинг." Рукалицо
- (2021-10-09) BẢO NGÔ GIA: like
- (2021-09-07) dengbej zahiro: harika bir uygulama tebrik ederim
- (2021-08-05) Mohamed Junaid Samiullah (Junaid): When I add the extension, I get a notification saying I need to login to my Google Account. When I click on 'Sign in', nothing happens. I have no idea how to activate the extension now. Uninstalling.
- (2021-07-10) Đình Nguyên Từ: mình không biết cách cài đặt và đặng nhập (sign in) thế nào cả? có gửi thông báo đến máy nhưng bấm vào nút "sign in" thì không có gì xảy ra cả. Ai chỉ mình với, không biết cách dùng 😖😭
- (2021-06-04) Sreenath Yadav: Awesome
- (2021-05-04) Andrey Chursin: Ещё бы добавили в контекстное меню генерацию пароля как в macOS!
- (2021-05-03) Ryan Northup: Not even usuable on a Chromebook due to how the account system is set up.
- (2021-04-26) bug: i love gogle
- (2021-04-19) Pilot 2254: it spams me with sign in stuff
- (2021-04-18) ᝰcamila shiiᝰ: MANO ISSO E MUITO BOM SERIO MSM o melhor que e do google sendo assim e muito confiavel pois vai ser ultilizado no propio google com segurança, pra quem nn quer adicionar e so negar a localizaçao dos sites so isso mais prefiro adicionar pra receber notificaçoes sobre espor senhar da gente do gmail pra outro site q nn e do gmail :3
- (2021-03-12) 남윤우: 같은 비밀번호를 다른 곳에서 사용하면 안된다는걸 잘 알려주네요^^ 좋아요
- (2021-03-02) Wildinho: Gostei muito dessa extensão!
- (2021-02-25) SPEEDER: More like its spamming me then protecting me
- (2021-01-25) jatropha: SO GOOD
- (2020-12-29) ClasMinecrafter “Kara Oğlan”: Bayııldıııııııııııım
- (2020-12-20) Mr MRF: خوب بود
- (2020-12-15) Noah Liu: I'm already logged into the Chrome browser and into my Google account, I keep logging in but nothing even happen
- (2020-11-21) Mateus Bastos: bom
- (2020-11-03) Thomas Bonnier: Fausses alerte à chaque fois dommage
- (2020-10-12) ViniZx Free Fire: não entendi pq serve
- (2020-09-16) Niphat Nualchan: Good
- (2020-09-13) cheng p: 安装后,叫我登录才能保护我。点了登录又没弹出登录界面?这是啥意思?
- (2020-08-24) Kaden Chung: good to
- (2020-08-16) Benjamin Case: This extension was wonderful! It reminds me to use unique passwords. I have no idea why it lost support, it was wonderful! 2FA is not always supported, so stay safe from hackers!
- (2020-08-04) Petr Kolář: v podstatě k ničemu....
- (2020-06-29) Bhushan Sonaje: Very useful, Thanks Google !!
- (2020-06-27) Nathan B: Does exactly what it says it will, reliably.
- (2020-03-18) Kevin Pillay: I am white.
- (2020-01-27) This will help protect me against DNS reroutes. Thank You ^(0.0)^
- (2020-01-09) Awesome
- (2020-01-02) casey mahoney: Truly amazing.
- (2019-11-21) Anuchit Boochakiat: ป้องกัน
- (2019-11-16) Гена Трофимов: https://aka.ms
- (2019-10-29) Prajyot Kumbharjuvekar: Only needed it once and it did its job exceptionally well.
- (2019-10-12) Pavel Fréhar: Super
- (2019-10-11) Attila Pekla: super
- (2019-06-25) Arutana Coberio Terena: EXCELENTE
- (2019-06-24) Gary Player: It's good for your account if you enter you google account, but we all know that Google stores and sells our data. Just read the ToC carefully. OwO
- (2019-06-18) Mingyang Liang: Great!
- (2019-06-03) Franz Lorenz Gavera: I would like to have the function after notifying that you accidentally entered your google password, it will have the option clear the field. thanks.
- (2019-05-14) officialn3rv0: Nie działa szkoda instalowania wogóle nie działa/// :(
- (2019-04-16) Paweł Rozwandowicz: działał i przestał działać